The International Goat Association

The INTERNATIONAL GOAT ASSOCIATION (IGA) promotes goat research and development for the benefit of humankind, to alleviate poverty, to promote prosperity and to improve the quality of life.

Friday March 12, 2010


IGA in Swahili

ADA ZA UANACHA - 2007

aribu Katika Umoja wa Kimataifa wa Wadau wa Mbuzi Asante kwa kutumia muda wako kutembelea tovuti yetu. Mwaka 2006 kwa msaada wa wanachama zaidi ya 250 na washirika wengine kutoka nchi mbalimbali 61, Umoja wa Kimataifa wa Wadau wa Mbuzi uliendelea kuhamasisha utafiti na maendeleo ya mbuzi duniani kote....